Sunday, July 28, 2019

“ SITAKI KUCHEZEWA KIMWILI WALA KIAKILI”


Naibu Katibu Mkuu wa AZCA Bahiya Bakari Ali ambae pia ni Msomi wa fani ya Ustawi wa Jamii akitoa mada ya wanafunzi juu ya maana ya udhalilishaji


Muwasilishaji mada ya VIASHIRIA VYA UDHALILISHAJI kutoka AZCA Ali Mjanga akiwafahamisha wanafunzi namna ya kugundua viashria hivyo na mbinu za kuviepuka.



Mwenyekiti wa AZCA Salama Said Aboud akitoa mada SABABU ZA UDHALILISHAJI mbele ya wanafunzi wa madrasa tul Muhaajirina jana



Wanafunzi wa Almadrasatul-Muhaajirina huko Mwera wakiwa makini kufuatilia mafunzo ya kujikinga na udhalilishaji yaliyotolewa na taasisi ya AZCA jana.

No comments:

Post a Comment